Watoto wanne wafariki kwa kuanguka chooni shule ya Turbo

  • | Citizen TV
    674 views

    Watoto wanne wa chekechea wamefariki baada ya kuanguka ndani ya choo cha shule eneo la Turbo kaunti ya Uasin Gishu.. Watoto hao wa shule ya Queen of Angeles walifariki baada ya choo kuporomoka, kwenye tukio lililoibua wasiwasi kuhusu usalama wa wanafunzi shuleni