Kakamega: Wasichana wawili wauguza majeraha makali kichwani baada ya kuvamiwa

  • | NTV Video
    1,216 views

    Wasichana wawili ambao ni dada akiwemo mwanafunzi wa kidato cha tatu kutoka kijiji cha Etenje eneo Bunge la Mumias Mashariki Kaunti na kakamega Wanauguza majeraha makali kichwani baada ya mwanaume mmoja kuwashambulia wakienda haja nyumbani kwao usiku.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya