Tabaita, Kericho: wakazi wataka eneo jipya la utawala

  • | NTV Video
    103 views

    Wakazi wa eneo la Tabaita katika tarafa ndogo ya Sigowet/Soin wametoa wito kwa serikali kuharakisha uundwaji wa eneo jipya la utawala pamoja na vitongoji kadhaa ili kuboresha utoaji wa huduma za serikali.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya