Samburu: Kina mama waacha biashara kuuza pombe haramu na kuingia katika kilimo-biashara

  • | NTV Video
    174 views

    Katika kaunti ya Samburu, kuna nuru mpya kwa kina mama wa Maralal waliokuwa wakijihusisha na biashara ya kuuza pombe haramu. Kina mama hao sasa wameacha biashara hiyo na kuingia katika kilimo-biashara

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya