Nangili: Wanafunzi kutoka shule 20 wajumuika kuonyesha mila na tamaduni mbalimbali

  • | NTV Video
    102 views

    Kulikuwa na tamasha iliyohusisha zaidi ya shule ishirini katika Shule ya Upili ya Moi Girls Nangili ambapo wanafunzi walionyesha mila na tamaduni mbalimbali pamoja na kusakata densi na vipaji tofauti tofauti.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya