UN yatoa onyo la maambukizi ya HIV.

  • | BBC Swahili
    3,925 views
    Huenda dunia ikashuhudia maambukizi milioni 6 mapya ya Virusi vya HIV na vifo zaidi ya milioni 4 kutokana na ugonjwa wa ukimwi ifikapo mwaka wa 2029. Hii ni kwa mujibu wa umoja wa mataifa, ambao umetoa ripoti yake ya kwanza kuhusu maambukizi hayo duniani hii leo tangu kukatizwa kwa ufadhili kutoka Marekani.