Nyoro ame ilaumu serikali kwa ghasia za maandamano

  • | Citizen TV
    577 views

    Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro ameilaumu serikali, akisema inapaswa kuwajibikia machafuko, vifo, na uharibifu wa mali uliooshuhudiwa nchini kwenye maandamano ya sabasaba ya Jumatatu.