Baraza la Magavana limeonya kuhusu kuchelewesha kwa mgao

  • | Citizen TV
    202 views

    Baraza la Magavana limeonya kuwa kuchelewesha kwa mgao wa fedha na kuongezeka kwa mzigo wa madeni kunatatiza utoaji wa huduma katika serikali za kaunti.