Maambukizi ya ugonjwa wa Mpox yameendelea kuripotiwa

  • | Citizen TV
    397 views

    Maambukizi ya ugonjwa wa Mpox yameendelea kuripotiwa kaunti ya mombasa.serikali ya kaunti hiyo imeanzisha kampeni ya kutoa hamasisho kuhusu maradhi hayo yanayoendelea kuripotiwa hasa maeneo ya Changamwe na Mvita.