LSK na polisi wa Machakos wamemkamata wakili mmoja bandia

  • | Citizen TV
    361 views

    Chama cha Wanasheria nchini (LSK) kwa ushirikiano na polisi kimemkamata mwanamke mmoja katika Mji wa Machakos kwa madai ya kujifanya wakili