“Katika mpira timu ndogo inaweza kuifunga timu Kubwa”

  • | BBC Swahili
    1,218 views
    Mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania na klabu ya Al Nassr nchini Saudi Arabia Clara Luvanga amesema timu hiyo imejiandaa kisaikolojia licha ya kushindwa mechi iliyotangulia. Tanzania inajiandaa kwa mechi ya pili dhidi ya bingwa mtetezi Afrika Kusini katika mashindano ya kombe la Afrika miongoni mwa wanawake WAFCON yanayoendelea Morocco. #bbcswahili #Tanzania #WAFCON2024 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw