Kwanini vijana wa sasa hawataki kuzaa watoto?

  • | BBC Swahili
    2,953 views
    Viwango vya uzazi vimeshuka kote duniani, kwa mujibu wa takwimu za Umoja wa Mataifa. Hii ni kutokana na sababu kadhaa, ikiwemo ukosefu wa hamasa ya uzazi kwa watu wengi, hasa vijana, ambao hawawezi kupata watoto wanaowataka. Ikiwa ni Siku ya Idadi ya Watu Duniani tunajadili hili kwa kina – pamoja na sababu kuu zinazowafanya vijana wengi kufanya maamuzi ya kutopata watoto. Ungana na Hamida Abubakar mwendo wa saa tatu usiku katika Dira ya Dunia TV, kumbuka kutembelea ukurasa wetu wa youtube utatupata mubashara andika tu bbcswahili #bbcswahili #diratv #dirayaduniatv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw