Wakenya wakerwa na ongezeko la ufisadi katika afisi za serikali

  • | KBC Video
    51 views

    Tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi inategemea mfumo wa kielektroniki wa ununuzi wa bidhaa na huduma za umma kudhibiti ufisadi katika utumishi wa umma. Tume hiyo imesema kuwa kuambatana na uchanganuzi wake watu wafisadi wanatumia mianya kwenye mfumo wa kawaida wa ununuzi wa bidhaa na huduma za umma kupora pesa za umma. Waliozungumza kwenye mkutano wa maadhimisho ya siku ya kukabiliana na ufisadi barani Afrika ambao maudhui yake ni kuimarisha hadhi ya binadamu katika vita dhidi ya ufisadi waliwahimiza wakenya wajiunge kwenye vita dhidi ya ufisadi kama jukumu la kiraia ili nchi hii ifanikiwe kudhibiti uovu huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive