Eneo la Mukuru ,jijini Nairobi limepokea msaada wa sodo

  • | KBC Video
    10 views

    Katika juhudi za kuboresha heshima na usafi wakati wa hedhi katika mitaa ya mabanda, kundi la wasichana na wanawake kutoka eneo la Mukuru Kwa Reuben jijini Nairobi limepokea msaada wa sodo kutoka kwa kampuni ya mchezo wa kamari ya hapa nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive