Ogembo, Wambui, Kibet na Macharia Washinda Raundi ya Nakuru ya Gofu ya KCB

  • | NTV Video
    77 views

    Timu ya Enock Ogembo, Eleanor Wambui, John Kibet na Macharia waliandikisha jumla ya alama 114 na kuibuka washindi wa raundi ya Nakuru ya msururu wa gofu ya KCB ya Afrika Mashariki iliyofanyika katika uga wa gofu wa Nakuru.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya