IPOA imekanusha madai ya kumwondolea lawama Lagat

  • | KBC Video
    85 views

    Mahakama kuu imekataa kutoa maagizo ya muda, ya kumzuia naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Eliud lagat kurejea ofisini. Badala yake, Jaji Chacha Mwita, alimuagiza Lagat kuwasilisha jibu lake katika muda wa wiki moja ijayo, huku kesi hiyo ikipangiwa kutajwa baadaye mwezi huu kwa maelekezo zaidi. Na huku hayo yakijiri, aliyekuwa waziri wa ardhi Amos Kimunya, hivi leo alikuwa kizimbani kujitetea katika kesi ya ufisadi kuhusu ardhi iliyoko kaunti ya Nyandarua. Letuaa Debra ametuandalia taarifa za kitengo cha mizani ya haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive