KUCCPS yafungua tovuti yake ya kubadilisha vyuo na kozi

  • | KBC Video
    52 views

    Halmashauri ya kuchagua wanafunzi kujiunga na vyuo vikuu-KUCCPS imefungua rasmi tovuti yake kwa wanafunzi wanaonuia kuwasilisha maombi ya kuhamishwa vyuo vikuu walikosajiliwa. Wanafunzi waliochaguliwa kwa vyuo vikuu mwaka huu na wangependa kuhamishiwa kwingine, wamealikwa kutuma maombi yao kupitia tovuti ya wanafunzi ya KUCCPS kuanzia leo hadi tarehe 12, mwezi Agosti, mwaka huu. Mchakato wa uhamisho unaruhusu wanafunzi waliochaguliwa mwaka huu kubadilisha vyuo vyao ikiwa wangependa kufanya hivyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive