Biashara I Kampuni za bima zatakiwa kuboresha utendakazi

  • | KBC Video
    16 views

    Taasisi 15 za kifedha zimesajiliwa kwenye mfumo mahsusi wa uhifadhi wa mazao kwenye mabohari kujiandaa kwa uzinduzi kamili kote nchini. Mkurugenzi wa baraza la mfumo huo wa uhifadhi boharini, Lucy Komen amesema mfumo huo utakapoanza kutumika kikamilifu, utalenga kupunguza kuharibika kwa mavuno kutoka kiwango cha sasa cha asilimia 30, hadi asilimia 5 kufikia mwaka 2027 kupitia mpango wa kutafutiwa soko na hifadhi za kutosha boharini. Taarifa kamili ni kwenye mseto ufuatao wa habari za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive