Chama cha matabibu chataka kushauriana na gavana Sakaja

  • | KBC Video
    31 views

    Chama cha matabibu humu nchini - KUCO kimeionya kaunti ya Nairobi kwa kukosa kushughulikia malalamishi ya matabibu ambao wamekuwa mgomoni kwa miezi mitatu sasa. Kulingana na chama hicho, shughuli katika hospitali za kaunti hiyo zimeathirika pakubwa. Masuala wanayotaka yashughulikiwe ni pamoja na kupandishwa vyeo, kuorodheshwa upya kwa kazi zao pamoja na kutekelezwa kwa miongozo ya kujiendeleza kitaaluma iliyoafikiwa mwaka 2024.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive