Vijana wamehamasishwa kukumbatia mafunzo ya kiufundi

  • | Citizen TV
    35 views

    Vijana wamehamasishwa kukumbatia nafasi zilizowekwa katika mafunzo ya kiufundi kama njia ya kupata ujuzi wa kupata ajira na kujitegemea.