Wananchi wataka serikali iwajibikie miradi ya maendeleo

  • | Citizen TV
    22 views

    Baadhi ya wakaazi kaunti ya Kilifi sasa wamewarai viongozi serikalini kuzingatia utawala bora humu nchini ili kutekeleza majukumu yao vilivyo.