Mkaguzi wa hesabu asema shule zapungukiwa na 117B

  • | Citizen TV
    58 views

    Uchunguzi wa akaunti za shule za umma nchini umeonyesha upungufu wa shilingi bilioni 117 katika ufadhili wa shule hizo, ripoti maalum ya mkaguzi wa hesabu za serikali ikiomba serikali kuongezea shule fedha zaidi