Watu wasiopungua 38 waliuawa siku ya saba saba

  • | Citizen TV
    242 views

    Kikundi cha Utekelezaji wa Mageuzi ya Polisi kimeelezea wasiwasi wake kuhusu vifo vilivyoshuhudiwa wakati wa maandamano ya Saba Saba. Taarifa zikionyesha kwamba watu wasiopungua 38 walifariki kote nchini huku kukiwa na hasara ya mamilioni ya pesa baada ya mali kuporwa