Zaidi ya viongozi wa kijiji 200 kaunti ya Busia wapewa sare za utambulisho

  • | Citizen TV
    284 views

    Zaidi ya viongozi wa vijiji 200 kutoka eneo bunge la Nambale kaunti ya Busia wamepewa mavazi rasmi kama njia mojawapo ya kuwatambulisha kwa urahisi kwa jamii