Rais Ruto asema hali ya uchumi nchini inaendelea kuimarika

  • | Citizen TV
    6,008 views

    Rais William Ruto amesema kuwa uchumi wa taifa unazidi kuimarika kutokana na mikakati ya serikali ya kupunguza gharama ya maisha kwa kiasi kikubwa.