Waandamanaji wa Kenya kushtakiwa.

  • | BBC Swahili
    1,166 views
    Waziri wa usalama wa ndani nchini Kenya Kipchumba Murkomen amesema kwamba watu 1500 wanazuiliwa katika vituo mbali mbali vya polisi wakikabiliwa na mashtaka mbali mbali kutokana na maandamano ya Juni 25 na Julai 7 nchini humo.