Vijana wataka serikali iwajibikie masuala yanayowakera Taita Taveta

  • | Citizen TV
    204 views

    Vijana kaunti ya Taita Taveta wametoa wito kwa serikali za kaunti sawa na ile ya kitaifa kuhakikisha masuala mbalimbali wanayokumbana nayo hasa suala la ukosefu wa ajira linaangaziwa