- 11,151 views- Russia inapoendelea kuzidisha mashambulizi yake dhidi ya Ukraine, Rais wa Marekani analiomba Bunge la Marekani Alhamisi kuidhinisha msaada mpya kwa ajili ya Jeshi la Ukraine. - Ukraine imesema kwamba mashambulizi ya Russia mashariki mwa nchi hiyo yameongezeka sana, huku miji kadhaa ikishambuliwa katika jaribio la wanajeshi wa Russia kutaka kuwazingira wanajeshi wa Ukraine. -Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Ned Price amesema Marekani itatoa msaada wa zaidi ya dola milioni 200 kwa Pembe ya Afrika. Msaada huo utajikita katika kushughulikia mahitaji ya kibinadamu yanayosababishwa na ukame na mzozo wa kikanda. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wakati Russia ikizidisha mashambulizi, Marekani yatoa msaada mpya kwa Ukraine
- - Duniani Leo ››
- - 🔴LIVE|| TV47 WIKENDI ››
- - 🔴LIVE|| NEWS NOW ››
- - LIVE| TV47 MATUKIO ››
- 4 May 2024 - Indian cartoonist Rachita Taneja and Hong Kong's Zunzi were awarded the biennial Kofi Annan Courage in Cartooning Award on Friday, which is International Press Freedom Day.
- 4 May 2024 - Hope Hicks, a former top aide to Donald Trump, testified on Friday that staffers on his 2016 presidential campaign were alarmed when they learned that a tape in which he made lewd comments about women was about to be made public.
- 4 May 2024 - Assimilation of the corps into the mainstream military did away with restrictions imposed on women.
- 4 May 2024 - Kyallo is making a return to the screens after four years.
- 4 May 2024 - The MP told the committee of the National Assembly that he had declined the nomination.
- 4 May 2024 - Parliament vetted the nominees and names were forwarded to the head of state for official appointment.
- 4 May 2024 - "The payment is lower, contrary to what we had signed," Benzani tells the BBC.
- 4 May 2024 - Survey shows the young workers want freedom to work from home or office.
- 4 May 2024 - The 11-member select committee is expected to begin its work next Tuesday.
- 4 May 2024 - JSC has forwarded the names to President William Ruto for appointments.