Shule yenye wanafunzi 400 ikipewa Sh49,680, kweli masomo yote yatawezekana? -Abubakar, Mwalimu

  • | TV 47
    24 views

    "Shule yenye wanafunzi 400, kwa mfano, inapokea shilingi 49,680 katika muhula wa pili. Msimamizi wa shule hiyo anatarajiwa kuhakikisha kuwa shughuli zote muhimu za kuendesha masomo, kuanzia chekechea hadi darasa la sita, zimefanyika kwa kiasi hicho cha fedha. Tuseme ukweli, itawezekanaje? -Abubakar Tsalwa, Mwalimu

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __