Msafara wa kusherehekea miaka 18 ya MPESA uko Nandi

  • | Citizen TV
    280 views

    Uhondo wa msafara wa MPESA Sokoni umefika Kaunti ya Nandi, huku watangazaji wa Radio Citizen na Chamgei FM wakiongoza ujumbe kwa wakazi wa maeneo haya. Hii ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 18 ya huduma za MPESA nchini, msafara huo ukiendelea kushika kasi mashinani.