- 15,267 viewsDuration: 3:36Ilichukua shinikizo nyingi za kidiplomasia kutoka kwa mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi na hata juhudi kutoka kwa rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa serikali ya Uganda kuwaachilia wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo. Haya ni kwa mujibu wa mashirika mbalimbali ya kutetea haki za kibinadamu ambayo yamehusika na shinikizo za kutafuta kuachiliwa kwa wawili hao, na hata thibitisho kutoka kwa familia ya bob njagi. Mazungumzo hayo yalimhusisha rais wa Uganda familia inasema rais wa Uganda Yoweri Museveni pamoja na mkewe Janet Museveni.