- 3,144 viewsDuration: 2:51Naibu katibu mkuu wa chama cha CHADEMA alikamatwa hii leo huku polisi nchini Tanzania wakiendelea na msako wa wale wanaodaiwa kuhusika wa machafuko ya wiki jana. Amani Goligwa ndiye kiongozi wa tatu wa chama hicho cha upinzani kukamatwa huku polisi wakichapisha majina kumi zaidi ya washukiwa wa machafuko hayo wanaosakwa. Watu ishirini na wawili zaidi walikabiliwa na mashataka ya uhaini huku asasi za usalama zikisalia kimya kuhusu idadi ya watu waliouwawa kufuatia machafuko hayo