8 Nov 2025 7:31 pm | Citizen TV 200 views Duration: 2:02 Msafara wa Jipange na Viusasa umetamatika katika ukanda wa Magharibi, huku wakazi wa Shianda, Sabatia, Khwisero na Luanda wakijitokeza kwa wingi kuupokea msafara