- 2,376 viewsDuration: 2:43Miaka 13 tangu mauaji ya Agnes Wanjiru, Msusi ambaye mwili wake ulipatikana umetupwa kwenye tenki ya maji taka huko Nanyuki, Mshukiwa mkuu wa mauaji hayo, hatimaye, amekamatwa. Mshukiwa huyo, ambaye alikuwa mwanajeshi wa Uingereza, anazuiliwa na polisi nchini Uingereza akisubiri kusikizwa kwa dhamana kwenye kesi ya kutafuta arejeshwe humu nchini ili kufunguliwa mashtaka ya mauaji