Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kihoto waishi kwa hofu baada ya Ziwa Naivasha kufurika na kusababisha mafuriko makubwa

  • | Citizen TV
    1,219 views
    Duration: 3:04
    Maelfu ya wakaazi wa Kihoto mjini Naivasha kaunti ya Nakuru wanaishi kwa hofu na wasiwasi kutokana na mafuriko yaliosababishwa na kufurika kwa Ziwa Naivasha. Baadhi yao wamelazimika kuhama huku wengi wakilemewa na gharama ya kutafuta makao mbadala