Dira ya Taifa ya maendeleo Tanzania ina maana gani?

  • | BBC Swahili
    1,494 views
    Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Dira ya Taifa ya Maendeleo ya miaka 25 ijayo, iliyopewa jina la DIRA 2050. Huu ni mpango wa taifa unaoweka muongozo wa mageuzi ya kimaendeleo ya nchi hiyo, na unalenga kuongeza pato la taifa hilo hadi dola trilioni moja za Marekani kufikia mwaka 2050.