8 Nov 2025 7:37 pm | Citizen TV 148 views Duration: 50s Kwa mara ya kwanza msimu huu, Afc Leopards imepoteza mechi ya ligi kuu nchini baada ya kipigo cha mabao mawili kwa nunge mikononi mwa Mara Sugar