China na Kenya zaandaa maonesho ya kitamaduni

  • | KBC Video
    4 views

    Idadi ya watalii kutoka Uchina wanaozuru humu nchini imekuwa ikiongezeka huku wizara ya utalii ikilenga kuongeza idadi hiyo kupitia mikakati ya ubia kama vile kupeperusha moja kwa moja matangazo kuhusu uhamaji wa nyumbu kwa takriban watu milioni 25 nchini humo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive