KPA yahimizwa kuwapa vijana Mombasa ajira ya muda

  • | KBC Video
    9 views

    Kundi la wakazi wa Mombasa linairai halmashauri ya bandari kurejesha kazi za vibarua ambazo zilipigwa marufuku miaka 16 iliyopita wakisema hatua hiyo itatatua changamoto ya ukosefu wa ajira na kuwaepusha vijana na uhalifu na uraibu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive