Kioni adai njama ya wizi wa kura 2027

  • | KBC Video
    29 views

    Katibu mkuu wa chama cha Jubilee Jeremiah Kioni amedai kuna njama ya wizi wa kura wakati wa uchaguzi mkuu ujao akitaja kucheleweshwa kwa utoaji vitambulisho kwa vijana kama mbinu ya kuwanyima haki yao ya kuchaguana. Akiongea katika eneo la Gatundu Kaskazini, Kioni pia alidai ipo njama ya kuvuruga sajili ya wapiga kura, akitoa wito wa uangalizi na uwazi kwenye mfumo wa uchaguzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive