Walimu Teso walalamikia ajali nyingi za barabarani

  • | KBC Video
    10 views

    Walimu kutoka eneo la Teso ya Kati wameelezea wasiwasi kufuatia ongezeko la ajali za barabarani. Hii ni baada ya mwanafunzi wa kidato cha tatu kufariki dunia baada ya kugongwa na lori jana alipokuwa njiani kuelekea shuleni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive