Wauguzi Homa Bay watishia kugoma

  • | KBC Video
    31 views

    Wauguzi katika Kaunti ya Homa Bay wametoa ilani ya siku saba ya mgomo kwa serikali ya kaunti, wakilalamikia kutotekelezwa kwa makubaliano baina yao na serikali ya kaunti na matakwa mengine ambayo hayajashughulikiwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive