Azma ya Paul Biya kuwania tena Urais wa Cameroon

  • | BBC Swahili
    2,598 views
    Rais wa Cameroon Paul Biya amewshangaza wengi barani Afrika wiki hii kwa kutangaza azma yake kuwania tena Urais wa taifa hilo kwa awamu nyingine. Hii nii baada ya kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 90 kuhudumu kama rais kwa miaka 50. Kwa bara ambalo umri wa wastani ni miaka kati ya 18 na 25 , wengi wanahisi kwamba nafasi ya vijana katika uongozi imebanwa. @MarthaSaranga analivalia njuga suala hilo kwenye Dira ya Dunia TV mubashara saa 3 usiku kwenye ukurasa wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #dirayadunia #diratv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw