Masuala 87 yanayochangia ufisadi katika magereza yatajwa

  • | KBC Video
    12 views

    Tume ya maadili na kupambana na ufisadi (EACC) imetaja masuala 87 yanayochangia ufisadi katika huduma za urekebishaji tabia. Miongoni mwa masuala hayo ni pamoja na mbinu hafifu za udhibiti, ukosefu wa mipango mahsusi ya ununuzi wa bidhaa na huduma za umma na ukosefu wa uwajibikaji wa kifedha. Katibu wa huduma za urekebishaji tabia Dr Salome Muhia Beaco katika kujibu masuala hayo, alisema kuwa udhaifu uliobainishwa katika huduma hizo unashughulikiwa kuambatana na kanuni za Nelson Mandela. Mengi zaidi na mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News