Royal Credit Ltd yazuia uuaji wa hisa za Directline

  • | Citizen TV
    284 views

    Kampuni ya Royal Credit Limited inayomiliki hisa nyingi katika kampuni ya bima ya Directline Assurance imepinga hatua ya wanaodai kuwa wenye hisa katika kampuni hiyo ya kutaka kuuza asilimia 90 Ya hisa za kampuni ya Directline.