Atwoli awakosoa wanasiasa kwa kutumia maandamano ya Gen-Z kujinufaisha

  • | KBC Video
    26 views

    Katibu mkuu wa chama cha muungano wa wafanyakazi Francis Atwoli amewakosoa wanasiasa kwa kutumia maandamano ya Gen-Z kujinufaisha kisiasa. Atwoli aliwahimiza vijana hawa kutotumiwa na wanasiasa kwani wanatetea mabadiliko ya sera, akitoa wito kwao kukumbatia mazungumzo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News