Serikali yatoa agizo kuhusu matumizi ya bunduki na polisi

  • | KBC Video
    120 views

    Serikali imetoa agizo la kwanza la sera kuhusiana na matumizi ya bunduki na huduma ya taifa ya polisi. Kwa mujibu wa wizara ya usalama wa taifa agizo hilo la sera litaongoza huduma ya polisi kuhusiana na matumizi ya nguvu na bunduki kuambatana ana katiba. Mwanahabari wetu Khaled Abdullahi anatuarifu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News