Kwanini Polepole amejiuzulu ubalozi?

  • | BBC Swahili
    78,663 views
    Aliyekua balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole alijiuzulu nafasi hiyo siku chache zilizopita, katika barua yake alianisha mambo kadhaa, na siku ya jana alifafanua zaidi katika video mubashara kwenye ukurasa wake wa Facebook. Lakini swali ni je sababu gani hasa imemfanya achukue uamuzi huo? Je, ni kwasababu ya madai ya kuhujumiwa kazini? ama ni mwenendo wa CCM? au Vitendo vya utekaji vinavyoendelea? Mwandishi wa BBC Sammy Awami anafafanua zaidi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw