Makamishna wa IEBC waanda kikao cha kwanza

  • | KBC Video
    150 views

    Makamaishna wapya walioapishwa hivi majuzi wa tume huru ya uchaguzi na mipaka, wameahidi kudumisha maadili kwenye uchaguzi na kuwahakikishia Wa-Kenya kuwa kutakuwa na chaguzi huru , haki na za kuaminika. Akiongea katika kaunti ya Mombasa, Mwenyekiti wa tume hiyo Dr. Erastus Ethokon alisema IEBC iko tayari kutekeleza jukumu lake , kwa kuanza kuandaa chaguzi 23 zilizosalia nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive