Wahusika wa uchafuzi wa mto Kiu kukamatwa

  • | KBC Video
    54 views

    Agizo limetolewa la kukamatwa kwa mtu yeyote atakayepatika akitupa mizoga ya nguruwe kwenye mto Kiu , kaunti ya Kiambu. Haya yanajiri kufuatia kuongezeka kwa uchafuzi kwenye mto huo na kusababisha athari za kiafya na mazingira .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive